Wikipedia:Mwongozo (Fungasha-na-maelezo zaidi)
Utangulizi | Kuhariri | Kuanzisha Makala | Muundo | Viungo vya Wikipedia | Kutaja vyanzo | Kurasa za majadiliano | Kumbuka | Kujisajili |
Hitimisho: kupanga makala mpya ya wikipedia
Maandalizi ya lazima kabla ya kuandika:
- 1. Chungulia kwanza kama makala kuhusu kichwa chako iko tayari (weka jina katika dirisha la "tafuta" ukigonga "Tafuta")
- 2. Soma makala nyingine zinazogusa kichwa chako na ujue lugha na majina yanatumiwa namna gani
Hivyo ndivyo inavyoonekana kama makala | Hivyo unavyoandika kwenye dirisha la uhariri | Habari zaidi | |
1. Anza kwa utangulizi mfupi. | Gibraltar ni eneo la ng'ambo la Uingereza... (Jina la makala latakiwa kuonekana kwa herufi koza linapotokea mara ya kwanza) |
'''Gibraltar''' ni eno la ng'ambo la Uingereza... | |
2. Panga maandishi marefu kwa vichwa vya ndani | Historia |
== Historia == | |
3. Rejea kwa makala zilizopo tayari kwa njia ya viungo: | Mwaka 1713 Hispania ilikubali kwa nafasi ya amani ya Utrecht kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya Uingereza. | Mwaka [[1713]] [[Hispania]] ilikubali kwa nafasi ya [[amani ya Utrecht]] kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya [[Uingereza]]. | |
4. Usinakili maandishi ya wengine, fuata Msimamo wa kutopendelea upande#Msimamo wa kutopendelea upande|Msimamo wa kutopendelea upande na taja vyanzo vya habari. |
- Ukipenda kutumia jedwali au picha katika makala yako angalia Wikipedia:Jedwali na Wikipedia:Picha
- Makosa ya kurudiarudia: Wikipedia:Makosa
- Kwa ushauri zaidi unaweza kutembelea wikipedia ya Kiingereza: More info in Wikipedia Tutorial