John Hall
John Lewis Hall (amezaliwa 21 Agosti, 1934) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza spektroskopia. Mwaka wa 2005, pamoja na Roy Glauber na Theodor Hänsch, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Hall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |