Roy Jay Glauber (amezaliwa 1 Septemba, 1925) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza sifa za kwanta kuhusu nuru. Mwaka wa 2005, pamoja na John Hall na Theodor Hänsch, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Roy Glauber
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roy Glauber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.