John Henry Parr (19 Julai 1897 - 21 Agosti 1914) alikuwa askari wa Uingereza. Inasadikika kuwa ndiye askari wa kwanza wa Jumuiya ya Madola kuuawa na adui katika Vita vya Kwanza vya Dunia.

Kaburi la John Henry Parr
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Henry Parr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.