John Miles

Mwandishi wa Afrika Kusini

John Miles (amezaliwa 1938) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini na mwalimu wa Kiafrikaans katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand. Hasa aliandika maandishi ya kibunilizi.

Maandishi yake hariri

  • Liefs nie op straat nie (hadithi fupi, 1970)
  • Kroniek uit die Doofpot (riwaya, 1991)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Miles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.