John P. Marquand
John Phillips Marquand (10 Novemba 1893 – 16 Julai 1960) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1938 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Late George Apley.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John P. Marquand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |