Robert Schrieffer
(Elekezwa kutoka John Robert Schrieffer)
John Robert Schrieffer (amezaliwa 31 Mei 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1972, pamoja na John Bardeen na Leon Cooper alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Schrieffer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |