31 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 31 Mei ni siku ya 151 ya mwaka (ya 152 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 214.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya ziara ya Bikira Maria, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Petronila wa Roma, Ermia wa Gumenek, Kansyo na wenzake, Batista Varano, Feliche wa Nicosia, Noe Mawaggali n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 31 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.