John Woo ni Muongozaji wa Filamu na Mtayarishaji kutoka Hong Kong huko China. John Woo alizaliwa tar. 1 Mei 1946 mjini Guangzhou (China) akahamia Hong Kong pamoja na wazazi wake akiwa na umri mdogo.

John Woo
Muongozaji wa Filamu John Woo
Muongozaji wa Filamu John Woo
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Nchi Mchina
Alizaliwa 1 Mei,1946
Kazi yake Kiongozi, Muigizaji, Mtunzi
Miaka ya kazi mn. 1973 -
Ameshirikiana na Van Dammed, John Travolta, Tom Cruise, Nicolas Cage nk.

Tangu 1974 aliongoza filamu huko Hong Kong kama vile "A Better Tomorrow", "The Killer" na "Hard-Boiled".

1993 akahamia Hollywood (Marekani) alipoendelea kuongoza filamu zilizokuwa maarufu kama vile "Hard Target", "Broken Arrow", "Face/Off", "Mission: Impossible II", "Windtalkers" na "Paycheck".

Filamu Alizoongoza hariri

  • Fist to Fist (1973)
  • The Young Dragons (1974)
  • The Dragon Tamers (1974)
  • Hand of Death (1975)
  • Princess Chang Ping (1975)
  • From Riches to Rags (1977)
  • Money Crazy (1977)
  • Follow the Star (1978)
  • Last Hurrah for Chivalry (1978)
  • Hello, Late Homecomers (1978)
  • To Hell with the Devil (film)|To Hell with the Devil (1981)
  • Laughing Times (1981)
  • Plain Jane to the Rescue (1982)
  • When You Need a Friend (1984)
  • Run, Tiger, Run (1985)
  • Heroes Shed No Tears (1986)
  • A Better Tomorrow (1986)
  • A Better Tomorrow II (1987)
  • Tragic Heroes (1989)
  • The Killer (film)|The Killer (1989)
  • A Better Tomorrow 3|A Better Tomorrow: Love & Death in Saigon
  • Bullet in the Head (1990)
  • Once a Thief (1991 film)|Once a Thief (1991)
  • Hard Boiled (1992)
  • Hard Target (1993)
  • Broken Arrow (1996 film)|Broken Arrow (1996)
  • Once a Thief (1996 film)|Once a Thief (1996)
  • Face/Off (1997)
  • Blackjack (film)|Blackjack (1998)
  • Mission: Impossible II (2000)
  • Windtalkers (2001)
  • Paycheck (film)|Paycheck (2003)
  • All the Invisible Children (film)|All the Invisible Children (2005)
  • The Battle of Red Cliff (film)|The Battle of Red Cliff (Itatoka Mwakani - 2008 )

Ona Pia hariri

Shughuli Zingine hariri

  • Hostage (Filamu Fupi ya BMW) (2002)
  • Stranglehold (video game) (2007)
  • Appleseed Ex Machina (2007)

Viungo vya Nje hariri

Chanzo hariri

John Woo Kwenye Makala ya Kingereza