John Zefania Chiligati

John Zefania Chiligati (amezaliwa 14 Oktoba 1950) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu mwaka wa 2000. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chiligati ni Waziri wa Ardhi. Mwaka wa 1986 alipata shahada ya pili katika somo la uendeshaji (administration) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Chanzo

hariri