Johnstone Makau
Mwanasiasa wa Kenya
Johnstone Mwendo Makau ni mwanzilishi wa Chama cha Kidemokrasia ya Kijamii cha Kenya (sasa Chama cha Kikomunisti cha Kenya). [1]
Makau aliwahi kuwa waziri wa habari katika serikali ya Daniel Arap Moi.[2]Makau baadaye alichaguliwa mara mbili kama mbunge wa mbooni katika bunge la Kenya lililohusishwa na chama cha KANU,[3] wakati KANU ilikuwa serikali ya chama kimoja na baadaye kupinduliwa kutoka mfumo wa serikali ya chama kimoja.
Marejeo
hariri- ↑ Banks, Arthur (1999). The Political Handbook of the World. Binghamton, New York: CSA Publications. uk. 527. Iliwekwa mnamo Februari 5, 2022.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kenya Threatens to Expel Foreign Journalists", Associated Press News, March 24, 1995.
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamentarians in Kenya 1944–2007 Archived Oktoba 28, 2008, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |