Jon Callas ni mtaalamu wa usalama wa kompyuta,[1] mhandisi wa programu, mbunifu na mzoefu wa kiolesura cha mtumiaji (kig User Interface), na mwanateknolojia kutoka nchini Marekani ambaye ni mwanzilishi mwenza na CTO wa zamani wa huduma ya mawasiliano iliyosimbwa kwa njia fiche duniani kote.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jon Callas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.