Jorie Graham

Jorie Graham (amezaliwa 9 Mei 1950) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1996 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Jorie Graham

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jorie Graham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.