José Antonio Torresola Ruiz

José Antonio Torresola Ruiz (anajulikana zaidi kama Frankie Ruiz; 10 Machi 1958 - 9 Agosti 1998) alikuwa mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Puerto Rico. Alikuwa mwimbaji mzuri sana kwenye muziki aina ya salsa romántica ambayo ilikuwa maarufu katika miaka ya 1980 - 1990. Ndani ya jamii ya Walatino, alichukuliwa kama "mmoja wa wauzaji bora wa manukato", na watu wa Puerto Rico wanaoishi nje ya nchi walifurahia sana manukato hayo kwa sababu huleta kumbukumbu ya nchi yao.

Frankie Ruiz alikuwa mraibu wa dawa za kulevya na pombe kwa miaka mingi. Mapungufu yake binafsi yalitumiwa vibaya na vyombo vya habari na magazeti lakini yalikuwa na athari ndogo kwenye umaarufu wake. Mwaka 1998, Ruiz alifariki kutokana na ugonjwa wa ini.[1][2]

Marejeo hariri

  1. Stavans, Ilan, mhariri (2014). Latin Music: Musicians, Genres, and Themes. ABC-CLIO. uk. 691. ISBN 9780313343964. Iliwekwa mnamo December 31, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Ernesto Lechner (1999-10-03). "Reevaluating the Legacy of a Salsa Pioneer". Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo 2016-03-18. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Antonio Torresola Ruiz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.