José Clemente Paz (alizaliwa 2 Oktoba 184210 Machi 1912) alikuwa mwanasiasa, mwanakidiplomasia, na mwanahabari kutoka Argentina, ambaye alianzisha gazeti La Prensa.[1]

José Clemente Paz
Kaburi la José C. Paz katika makaburi ya Recoleta huko Buenos Aires

Marejeo

hariri
  1. El Círculo Militar: 100 años despues. Secretaría de Información Pública, 1981.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José C. Paz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.