José Lutzenberger

José Antônio Kroeff Lutzenberger (17 Desemba 192614 Mei 2002) alikuwa mtaalamu wa kilimo na mwanamazingira wa Brazili.

José Lutzenberger

Mnamo 1988, alitunukiwa Tuzo ya Haki ya Kuishi kwa "mchango wake katika kulinda mazingira asilia nchini Brazili na ulimwenguni kote".

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Lutzenberger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.