Josef Schovanec
Josef Schovanec (alizaliwa Charenton-le-Pont tarehe 2 Desemba 1981) ni falsafa, mwandishi, mtafsiri, na mtetezi wa watu wenye ulemavu wa akili kutoka Ufaransa. Alizaliwa katika familia ya wahamiaji wa Kicheki.[1]
Marejeo
hariri- ↑ ČT24. "Život s autismem: O kolečko míň, o problém víc". ct24.ceskatelevize.cz (kwa Kicheki). Iliwekwa mnamo 2024-08-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josef Schovanec kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |