Joseph Brodsky
Joseph Aleksandrovich Brodsky (24 Mei 1940 – 28 Januari 1996) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Urusi. Kuanzia mwaka wa 1972 aliishi nchini Marekani. Mwaka wa 1987 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Joseph Brodsky | |
Amezaliwa | Iosif Aleksandrovich Brodsky 24 Mei 1940 Leningrad, Urusi |
---|---|
Amekufa | 28 Januari 1996 New York |
Nchi | Urusi |
Kazi yake | Mshairi, Mwandishi |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Brodsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |