24 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 24 Mei ni siku ya 144 ya mwaka (ya 145 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 221.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Manaeni, Yoana mke wa Kusa, Zoelo wa Listra, Servulo wa Trieste, Donasiani na Rogasiani, Wafiadini wa Plovdiv, Visenti wa Lerins, Simeoni wa Mnarani Kijana, Augustino Yi Kwanghon na wenzake n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.