Kaizari Joseph I

(Elekezwa kutoka Joseph I)

Joseph I (26 Julai 167817 Aprili 1711) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1705 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Leopold I, na kufuatiwa na Karoli VI.

Kaizari Joseph I
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Joseph I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.