Karoli VI (1 Oktoba 168520 Oktoba 1740) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1711 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Joseph I, na kufuatiwa na Karoli VII.

Kaizari Karoli VI
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Karoli VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.