Joseph Kramm
Joseph A. Kramm (30 Septemba 1907 – 8 Mei 1991) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1952, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Shrike.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Kramm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |