Josephat Njuguna Karanja (5 Februari 193128 Februari 1994) alikuwa makamu wa tano wa rais katika jamhuri ya Kenya kati ya 1988 na 1989.[1]

Marejeo

hariri
  1. Karanja, Josphat Njuguna (1962). United States attitude and policy toward the international African Association, 1876-1886 (kwa Kiingereza).