Josh Ramsay
Joshua Keeler Ramsay ni mwimbaji, mtunzi, mtayarishaji, mhandisi wa kurekodi, na mchezaji wa vyombo vingi kutoka Kanada. Anajulikana zaidi kwa kuwa mwimbaji mkuu wa bendi ya Marianas Trench ya pop rock.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Stevenson, Jane (February 8, 2012), "Trench singer has music in DNA Archived 10 Agosti 2016 at the Wayback Machine", London Free Press. Retrieved April 13, 2012.
- ↑ Arbour, Mallory. "Marianas Trench's Josh Ramsay Talks New Music, His 'Biggest Fear' & More". The Music. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Producer Biography". Simkin Artist Management. Iliwekwa mnamo Aprili 21, 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josh Ramsay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |