Jost Bürgi
Jost Bürgi (pia Joost, Jobst; jina la Kilatini Burgius au Byrgius, 28 Februari 1552 - 31 Januari 1632) alikuwa raia wa Uswisi aliyetengeneza saa na kwa mara ya kwanza binadamu akaishi kwa majira.
Pia alikuwa mtengenezaji wa vyombo vya anga na mtaalamu wa hisabati.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jost Bürgi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |