Joyce Bitta Sokombi

Mwanasiasa wa Tanzania

Joyce Bitta Sokombi (amezaliwa tarehe 18 Machi 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017