Joyce Mhavile

Mkurugenzi mtendaji wa ITV, Radio One na Capital One nchini Tanzania


Joyce Mhavile (alizaliwa tar.....) ni Mkurugenzi mtendaji wa ITV, Radio One na Capital One nchini Tanzania. Pia ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya T-MARC Tanzania.[1]

Joyce Mhavile
Amezaliwa
Tanzania
Kazi yake Mkurugenzi mtendaji

Amepata tuzo ya heshima ambayo hujulikana kama tuzo ya Malkia wa nguvu.[2] katika kukuza, kusimamia,kuendeleza na kutetea tansia ya habari nchini Tanzania mwaka 2018. Tuzo hiyo ilitolewa na Clouds Media Group iliyopo jijini Dar-es-Salaam.

Marejeo hariri