Juba
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Juba ni neno linalomaanisha mara nyingi
- Juba, Sudan Kusini - mji mkuu wa Sudan Kusini
Neno laweza kumaanisha pia
Watu
hariri- Juba I wa Numidia mfalme aliyetawala 85 BC–46 BC
- Juba II wa Numidia mfalme aliyetawala 52 KK - 23
- Juba wa Mauretania mfalme wa karne ya 2
- Titus Desticius Juba - Mroma wa karne ya 3
Mahali
hariri- Juba - kijiji katika wilaya ya Võru, Estonia
- Juba - jina la mikoa ya Somalia karibu na mto Jubba inayoandikwa pia kama "Juba"
- mto Jubba katika Somalia (pia: Juba)
- Chuo Kikuu cha Juba katika Juba, Sudan Kusini