Juctice Majabvi

Juctice Majabvi (amezaliwa Harare, Zimbabwe, 26 Machi 1984) ni mchezaji wa kandanda akiichezea klabu ya Simba S.C. ya nchini Tanzania. Majadvi nafasi anayocheza ni kiungo mkabaji.

Juctice Majabvi

Timu alizowahi ChezeaEdit

Lancashire Steel-2002-2005

Dynamos FC-2005-2008

LASK Linz-2008-2011

Khatoko kan hoa-2011-2013

Vicem hai Phong F.C-2013-2015

Simba S.C.-2015

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juctice Majabvi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.