Juctice Majabvi
(Elekezwa kutoka Juctice Majadvi)
Juctice Majabvi (amezaliwa Harare, Zimbabwe, 26 Machi, 1984) ni mchezaji wa kandanda akiichezea klabu ya Simba S.C. ya nchini Tanzania. Majabvi nafasi anayocheza ni kiungo mkabaji.
Timu alizowahi Chezea
haririLancashire Steel-2002-2005
Dynamos FC-2005-2008
LASK Linz-2008-2011
Khatoko kan hoa-2011-2013
Vicem hai Phong F.C-2013-2015
Simba S.C.-2015
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juctice Majabvi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |