Judi Aubel

Mjasiriamali wa kijamii wa Marekani

Judith “Judi” Aubel (1946/1947 ( umri 74-75))[1] ni mtaalamu wa kimarekani wa masuala ya afya ya jamii[2] na mjasiriamali wa kijamii. Anatumikia kama mkurugenzi mtendaji wa mradi wa The Grandmother Project [3] usiotengeneza faida ambao unafanya kazi kuboresha maisha ya wanawake na   watoto.

Judi Aubel mnamo mwaka 2017

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judi Aubel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.