Julianatop ni mlima mkubwa nchini Surinam. Ina kimo cha 1230 m iko katika milima ya Wilhelmina katika sehemu ya kaskazini ya nchi wilayani Sipaliwini. Jina limetokana na malkia Juliana ya Uholanzi.

Ramani ya mlima Julianatop

Viungo vya Nje hariri

  1. peakbagger.com
  2. surigids.com
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Julianatop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.