Julitta wa Armenia
Julitta wa Armenia alikuwa Mkristo wa karne ya 4.
Ingawa jina lake na utambulisho wake ni vigumu kuthibitisha, anatambulika kama mke wa Gregori Mletamwanga na mama mwanzilishi wa nasaba ya Kigregori, akiwa mama wa Aristaces I na watoto wengine ambao walichangia kueneza Ukristo Armenia.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Agat'angeghos; Agat?angeghos; Thomson, Robert W. (1976-01-01). History of the Armenians (kwa Kiingereza). SUNY Press. ISBN 978-0-87395-323-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-22. Iliwekwa mnamo 2024-06-22.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |