Julius Nyaisangah
'
Julius Nyaisangah | |
---|---|
kutoka kushoto ni: Aboubakar Liongo, Anko J katikati (enzi za uhai wake hii ni 2012), na Othamn Michuzi | |
Amezaliwa | |
Amefariki | Oktoba 20, 2013 (umri 53) Morogoro, Tanzania |
Sababu ya kifo | Shinikizo la damu na sukari |
Nchi | Mtanzania |
Majina mengine | Anko J |
Kazi yake | Mtangazaji/Mkurugenzi |
Watoto | 3 |
Julius Nyaisangah (alifahamika zaidi kwa jina fupi kama Anko J; 1 Januari 1960 - 20 Oktoba 2013) alikuwa mtangazaji maarufu wa redio na televisheni kutoka nchini Tanzania.
Awali alifanya kazi RTD, Radio One, na mwisho kabisa alikuwa mkurugenzi wa Abood Media Co. Limited. Nyaisangah alifariki dunia kwa tatizo la shinikizo la damu na kisukari mjini Morogoro, Tanzania. Ameacha mjane na watoto watatu.
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Habari kuhusu Julius Nyaisangah katika Mtaa-Mtaa Blogu