Juma Abdallah Njwayo

Juma Abdallah Njwayo (amezaliwa tar. 10 Machi 1964) ni mbunge wa jimbo la Tandahimba katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Juma Abdallah Njwayo". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.