Juma Athumani Kapuya
Juma Athumani Kapuya (amezaliwa tar. 22 Juni 1945) ni mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
hariri- Wabunge wa Tanzania
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Marejeo
hariri- ↑ "Mengi kuhusu Juma Athumani Kapuya". 1 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |