Juma Hassan Killimbah

(Elekezwa kutoka Juma Hassan Kilimbah)

Juma Hassan Killimbah (amezaliwa tar. 25 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Juma Hassan Kilimbah". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.