Jun Endo (alizaliwa 24 Mei 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa klabu ya Angel City FC inayoshiriki ligi ya Wanawake (NWSL) pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Japan. Mwanzoni alichezea klabu ya wanawake ya Nippon TV Beleza huko Nadeshiko na ilishinda michuano ya Women's Club Championship (AFC) mnamo 2019.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jun Endo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.