Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza

(Elekezwa kutoka KKK/SED)

KKK/SED ni kifupi cha "Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza" (Swahili-English Dictionary) iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mwaka 2001.

Kamusi hiyo inataja maana za Kiingereza kwa maneno zaidi ya 50,000 ya Kiswahili.

Marejeo hariri

  • Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (KKK) (imetungwa TUKI, Dar es Salaam 2001)

Viungo vya nje hariri