Kabla ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: KK) ni namna mojawapo ya kutaja miaka.

Uandishi wa "Anno Domini" katika kanisa kuu la Klagenfurt , Austria

Hesabu hii imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani siku hizi.

Kila mwaka huhesabiwa kuanzia ule uliodhaniwa kuwa mwaka wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo. Miaka iliyofuata kuzaliwa kwake hutajwa kwa kuongeza Baada ya Kristo au kifupi: BK.

Kuhusu historia ya hesabu hii tazama: Historia ya Hesabu "Kabla ya / Baada ya Kristo"

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabla ya Kristo kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.