Kabulasoke ni mji wa wilaya ya Gomba katika Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali pa Kabulasoke katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°09′27″N 31°48′42″E / 0.15750°N 31.81167°E / 0.15750; 31.81167

Mahali

hariri

Mji uko katika Kaunti ndogo ya Kabulasoke, ikiwa ni moja ya parokia tisa katika kitengo hicho cha utawala.[1]

Marejeo

hariri
  1. LCMT (21 Agosti 2015). "Parishes in Kabulasoke Subcounty, Gomba District, Uganda". Land Conflict Mapping Tool (LCMT). Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)