Kaddour Bekhloufi (7 Juni 1934 - 26 Julai 2019) alikuwa mchezaji wa kulipwa ambaye alicheza kama mshambuliaji na pia kama mlinzi. Kaddour Alicheza soka ya kimataifa katika timu ya FLN na Algeria.

Wasifu

hariri

Tangu akiwa mdogo, Kaddour Bekhloufi alivutiwa sana na soka, na idadi kubwa ya vilabu vilivyoundwa huko Oran,Pia Kaddour alikuwa na chaguo, hivyo aliondoka na kutia saini klabu ya Athletique Liberté d'Oran (CAL Oran), kabla ya kujiunga na klabu ya AS. Marine d'Oran.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Kaddour Bekhloufi, de l'ASMO à Monaco, le récit d'une légende". la Gazette du Fennec. 2 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaddour Bekhloufi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.