7 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Juni ni siku ya 158 ya mwaka (ya 159 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 207.
MatukioEdit
- 1099 - Yerusalemu unazingirwa na askari Wakristo wa Vita vya msalaba
WaliozaliwaEdit
- 1862 - Philipp Lenard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905
- 1877 - Charles Glover Barkla, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917
- 1896 - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 1917 - Gwendolyn Brooks, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1952 - Orhan Pamuk, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2006
- 1952 - Liam Neeson, mwigizaji wa filamu kutoka Ireland
- 1958 - Prince, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1968 - Carla Marins, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 1972 - Karl Urban, mwigizaji wa filamu kutoka New Zealand
WaliofarikiEdit
- 555 - Papa Vigilio
- 2010 - Oliver N'Goma, mwanamuziki kutoka Gabon
- 2014 - Mzee Small, mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Tanzania
- 2015 - Christopher Lee, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro, Valabonso na wenzao, Robati wa Newminster, Antonio Maria Gianelli n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |