Kadi ya sauti

Kadi ya sauti ni sehemu ya tarakilishi inayotoa sauti katika kipazasauti chake.

Kadi ya sauti inayoitwa "Sound Blaster Live! Value card CT4670".

Kadi za sauti za kwanza ziliundwa mwaka wa 1981.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.