Kagoshima, Kagoshima

Kagoshima (鹿児島市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kagoshima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 600,000 wanaoishi katika mji huu.

Kagoshima
Bendera ya Kagoshima
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kyushu
Mkoa Kagoshima
Idadi ya wakazi
 - 604 712
Tovuti: www.city.kagoshima.lg.jp
Flag of Kagoshima, Kagoshima.png

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kagoshima, Kagoshima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.