Francis I (8 Desemba 170818 Agosti 1765) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia tarehe 13 Septemba 1745 hadi kifo chake. Alimfuata Karoli VII, na kufuatiwa na Joseph II.

Kaizari Francis I
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Francis I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.