8 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 8 Desemba ni siku ya 342 ya mwaka (ya 343 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 23.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kukingiwa dhambi ya asili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Makari wa Aleksandria, Papa Eutikiani, Eukari wa Trier, Patapi wa Thebe, Romariki, Noeli Chabanel, Narsisa wa Yesu n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 8 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.