Kaizari Joseph I
Joseph I (26 Julai 1678 – 17 Aprili 1711) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1705 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Leopold I, na kufuatiwa na Karoli VI.
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Joseph I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |