Kajo Keji ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Equatoria ya Kati.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 196,000 mwaka 2010.