Kakuuto, Uganda

Eneo nchini Uganda

Kakuuto ni mji ulio kusini magharibi mwa Uganda ya kati.

Ramani eneo la Uganda
majira nukta (0 ° 50'24.0 "S, 31 ° 27'36.0" (Latitudo: -0.8400; Longitude: 31.4600))

Mahali ilipo

hariri

Kakuuto ipo katika wilaya ya Kyotera, takriban umbali wa kilomita 80 sawa na maili 50 kwa barabara uelekeo wa kusini mwa Masaka ambalo ndio jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo.[1] Eneo hili lipo magharibi mwa barabara kuu inayounganisha Masaka na mji wa mpaka wa Mutukula,ipo mita 1,200 sawa na futi 3,900 kutoka usawa wa bahari. Mutukula ni mji wa mpakani kati ya Uganda na Tanzania uko takriban kilomita 17 sawa na maili 11 umbali kwa barabara kutoka kusini mwa Kakuuto.[2] ipo katika majira nukta (0 ° 50'24.0 "S, 31 ° 27'36.0" (Latitudo: -0.8400; Longitude: 31.4600)).[3].

Marejeo

hariri